Mfugaji wa samaki akifungulia maji ili kuingia kwenye Bwawa la samaki lililopo Nyihogo wilayani Kahama, maji haya yanatoka moja kwa moja kutoka Ziwa Victoria, Wanakahama na Watanzania kwa ujumla kutokana na kupungua kwa samaki kwenye vyanzo vya maji vya asili, tutumie fursa hii, tuyatumie maji haya kuwekeza katika ufugaji wa samaki. INAWEZEKANA TUWACHE WOGA .
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment