Ufugaji wa samaki kwenye mabwawa unawezekana, kinachotakiwa ni elimu ya kutosha na Serikali iweke mkazo katika swala hili kwa kuajiri wataalamu wa ufugaji wa samaki (AQUACULTURIST) wawa ndio watakao weza kueneza elimu hii ya ufugaji wa samaki kwenye mabwawa.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: